CAS Selection 2026: The United Republic of Tanzania, the National Council For Technical and Vocational Education and Training ( NACTVET ) Issued the CAS Selection 2026. Candidates Who are Searching For CAS Selection List are Required to Visit the nactvet.go.tz official web portal. After You Enter the Official Website See Key Links. Select CAS Selection 2026 Link. You Will be Landed at result page tvetims.nacte.go.tz/selections/selected.jsp page. Type Username (Index Number / Year e.g P9898/9875/2014) Or Index Number / Year.
MATOKEO YA UDAHILI KWA KOZI ZA AFYA AWAMU YA PILI
MATOKEO YA UCHAGUZI WA UDAHILI KWA KOZI ZA AFYA NA SAYANSI
SHIRIKISHI AWAMU YA PILI KUPITIA MFUMO WA UDAHILI WA
PAMOJA KATIKA MWAKA WA MASOMO 2025-2026.
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma
kuwa matokeo ya uchaguzi wa awamu ya pili kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi
Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 yametangazwa tarehe .
Baraza lilifungua dirisha la awamu ya pili kuanzia tarehe 11 Julai hadi tarehe 10 Agosti,
2024 ambapo jumla ya waombaji 20,163 walikamilisha maombi yao kwa kuchagua vyuo/
programu walizozipenda. Aidha, Jumla ya waombaji 3,806 hawakuwa na sifa kwenye
programu walizoomba
Jumla ya waombaji 13,201 wamechaguliwa kujiunga katika vyuo 206 vinavyotoa
programu mbalimbali za Afya na Sayansi Shirikishi, wanawake ni 6,512 (49.3%) na
wanaume ni 6,689 (50.7%). Waombaji 193 walichaguliwa kwenye vyuo 33 vya serikali
na waombaji 13,008 katika vyuo 173 visivyo vya serikali
Waombaji wote wanaweza kuangalia matokeo ya uchaguzi kupitia tovuti ya Baraza
kwa kubonyeza CAS Selection 2024 kwa ajili ya kupata taarifa
zaidi.
Aidha, Baraza linautaarifu umma kuwa dirisha la awamu ya tatu limefunguliwa tarehe
**** hadi tarehe ****.
NACTE Diploma & Certificates Selections 2025/2026- List of NACTVET Selected Students
The NACTVET Selections for the Academic Year 2025/2026 Have Been Seriously Awaited By Students, Parents & Educational Institutions. The NACTVET Released to the Public the Results of the 1st Phase of Selection for those Who Applied to Join the Health and Allied Sciences Programs for the Academic Year 2025-2026.
Students Can Check the CAS Selection List through Council’s Web Portal By Clicking On CAS Selection.
How to Check CAS Selection 2026
- Go to the nactvet.go.tz official web portal
- Click on CAS Selection 2026
- Type User Name Or Index Number / Year
- Selection List Will be Open On Screen
- Download and Save Copy For Future Use
CAS Selection List 2026: CHECK HERE

